Nampenda Mama yangu

Item request has been placed! ×
Item request cannot be made. ×
loading   Processing Request
Share on Goodreads
  • Additional Information
    • Abstract:
      Kila mtu humpenda mama yake licha ya umri wao. Katika hadithi hii, sungura watatu Jimmy na kaka zake wakubwa walijaribu kutafuta zawadi bora ya mama yao katika siku yake ya kuzaliwa. Wanataka kuonyesha jinsi wanavyompenda. Je walibuni suluhisho gani kuonyesha hisia zao? Utajifunza haya yote katika kitabu hiki cha Watoto. Kitabu hiki ni mkusanyiko wa hadithi fupi za wakati wa kulala Hadithi hii inaweza kuwa bora kwa ajili ya kusomea watoto wakati wa kulala na familia nzima.
    • Publication Type:
      eBook.
    • Subject Terms: